Kiswahili
Uamuzi wa Afya Zilizofahamishwa
Upungufu/shida/ Tatizo Kuna habari nyingi tofauti zinaenea kuhusu uzuri au ubaya wa matibabu (sababu hizi zinazotelewa ili kuboresha afya yetu). Mara nyingi habari hizi si za kuaminika na pia watu wengi hawana uwezo wa kuuliza na kudhibitisha ukweli au uhakika wa habari hizi za afya. Hali hii inawafanya watu kufanya maamuzi yasiokuwa na msingi na […]